Michezo Yako, Kwa Urahisi.

Hakuna Tena
Kijumbe Nitick!

KIJUMBE inakuja kukurahisishia usimamizi wa michezo ya upatu. Si kijumbe tu, hata wachezaji tumewarahisishia kujua zamu zao, malipo na kila kitu.

KIJUMBE kwenye iPhone na iPad: Mpangilio wa zamu, Asha Mwinyi anapokea leo.